Matokeo Ya Mtihani Darasa la Saba 2015/2016 Updated

Matangazo
Matangazo
Matokeo ya darasa la saba PSLE NECTA 2015/2016 Yametoka, matokeo la saba 2015/2016, Matokeo std vii 2016, Pata matokeo darasa la saba 2015/2016, Matokeo ya darasa la saba Yatolewa, Matokeo ya mtihani darasa la saba 2015

Baraza la Mitihani Tanzania - NECTA limetangaza matokeo ya mitihani ya darasa la saba iliyofanyika September 9 na 10 mwaka huu ambapo mikoa ya kanda ya ziwa imefanya vizuri ikilinganishwa na mikoa mingine nchini. Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk. Charles Msonde amesema jijini Dar es salaam kuwa  jumla ya watahiniwa 51,8034 kati ya 76,3602 wamefaulu sawa na asilimia 67.84, ambapo kati yao wasichana wamefaulu kwa asilimia 64.60 na wavulana asilimia 71.58 huku kiwango hicho cha kikiongezeka kwa asilimia 10.85 ukilinganisha na ufaulu wa mwaka jana wa asilimia 56.99.

Matokeo Ya Mtihani Darasa la Saba 2015/2016 Updated


Dk. Monde amezitaja shule zilizofanikiwa kuingia kumi bora kitaifa mwaka huu ni pamoja na shule ya Waja Springs ya Geita iliyoshika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na Enyamai ya Mara na Twibhoki pia ya Mara katika nafasi ya tatu huku zikifuatiwa na shule nyingine 7 zote kutoka mikoa ya kanda ya ziwa. Shule ya Mwashigini ya mkoani shinyanga imetajwa kushika nafasi ya mwisho.  Katika hatua nyingine Dk. Msonde amezungumzia pia kukamilika kwa maandalizi ya mitihani ya kidato cha nne ambayo itafanyika kuanzia nov mbili hadi 27 mwaka huu na kuwataka wasimamizi pamoja na watahiniwa kujiepusha na vitendo vya udanganyifu ili kuepuka kufutiwa mitihani hiyo. Kwa kuwa mitihani hiyo inafanyika tanzania bara na visiwani Dk Msonde amewatoa hofu watahiniwa wa Zanzibar ambako kuna hofu ya uvunjifu wa amani kutokana na masuala ya kisiasa kuwa mitihani hiyo itaendelea kama kawaida kwani suala la ulinzi limeimarishwa. 

BOFYA jina la Mkoa kupata matokeo yakeARUSHADAR ES SALAAMDODOMAIRINGAKAGERAKIGOMAKILIMANJAROLINDIMARAMBEYAMOROGOROMTWARAMWANZAPWANIRUKWARUVUMASHINYANGASINGIDATABORATANGAMANYARAGEITAKATAVINJOMBESIMIYU



MATOKEO YA DRS 7  2016/2017 - Have been published by NECTA, STD 7 RESULTS 2016 Tanzania.


Matokeo Ya Darasa la saba 2016 - STD Seven Exams Results 2016 - NECTA

                                                                        OR

Matokeo Darasa la Saba, PSLE 2016 - NECTA Class Seven Results 2016 

Matokeo Darasa la Saba 2015 (PSLE 2015) - NECTA Class Seven Results 2015

OR

Matokeo Darasa la Saba 2015 (PSLE 2015) - NECTA Class Seven Results 2015

Matokeo Darasa la Saba 2014, PSLE 2014 - NECTA Class Seven Results 2014

OR

Matokeo Darasa la Saba 2014, PSLE 2014 - NECTA Class Seven Results 2014


Bofia Hapa - Matokeo Darasa La Saba, PSLE-2013 Examination Results - NECTA Class Seven Results - NECTA

Artikel Terkait